AJALI MBAYA YA BASI LA GEITA EXPRESS ENEO LA CHINANGALI ( DODOMA)
Basi la kampuni ya #Geita_Express imepata ajali mchana wa leo maeneo ya Chinangali jijini Dodoma. Basi hiyo hufanya safari zake kati ya jiji la Dar Es Salaam na mji wa Geita.@kitengetv @ITVTanzaniaTz @millardayoTZA