This website uses cookies to ensure you get the best experience on our website. Learn more

10 Best place to visit in Ilembula Tanzania

x

RHOTIA VALLEYE LODGE TANZANIA

Rhotia lodge which is located on the top of the riff. The lodge uses its profits to support the children home
x

HAIELEZEKI, MAJONZI YATAWALA, KUAGWA KWA MWILI WA WAKALA ALIYEUAWA KWA RISASI NJOMBE

Wananchi kutoka maeneo mbalimbali ndani ya mkoa wa Njombe na nje ya mkoa leo Septemba 2, 2023 wamejitokeza kuuga mwili wa Golden Luoga (34) aliyepigwa risasi akiwa na ndugu yake Faraja Luoga (40) usiku Agosti 29, mwaka huu katika mtaa wa Kambarage kata ya Njombe mjini .

Ibada ya kumuaga Golden Luoga imeongozwa na Mchungaji Daudi Mgeni wa Kanisa la Anglikana Kambarage ambapo amesema klila jambo hupangwa na Mungu na ndio mwenye kutoa hukumu.

Viongozi serikali katika ngazi mbalimbali wameshirishiki huku ujumbe mkubwa ikiwa ni kuwataka wananchi kuwa watulivu ili jeshi la polisi liweaze kufanya uchunguzi wa tukio hilo.

Golden Luoga na Faraja Luoga (Kaka wa Golden) walishambuliwa na watu wanaosadikika kuwa ni majambazi kwenye makazi ya Golden mjini Njombe Agosti 29 majira ya saa 3 usiku muda mfupi baada ya kufika nyumbani ambapo Faraja alifariki siku hiyo hiyo na kuzikwa Septemba 1,2023 .
#kingsfmradio #jisikiemfalme #NipoTayari
x

Luduga Kirche

Luduga
x

Shares

x

Check Also

x

Menu